Wapiganaji wa
JWTZ wakiwa na maua maalumu kwa ajili ya kumkabidhi rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe: John Pombe Magufuli na mke wake mama Janet
Magufuli, ili kuyaweka juu ya kaburi la aliekuwa makamu wa rais Dk Omar
Ali Juma alifariki mwaka 2001,
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: John Pombe Magufuli, akipokea
shada la maua kutoka kwa mpiganaji wa JWTZ Pemba, kwa ajili ya kuliweka
kwenye kaburi la aliekuwa Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dk, Omar Ali Juma kijijini kwoa Wawi Chakechake Pemba
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: John Pombe Magufuli, akiweka shada
la maua juu ya kaburi la aliekuwa Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania dk, Omar Ali Juma, kijijini kwao Wawi Chakechake Pemba
Mke wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: John Pombe Magufuli, mama Janet
Magufuli, akipokea shada la ma ua kutoka kwa mpiganaji wa JWTZ, kwa
ajili ya kuliweka kwenye kaburi la aliekuwa Makamu wa rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania dk, Omar Ali Juma aliefariki mwaka 2001 na kuzikwa
kijijini kwao Wawi Chakechake Pemba
Mke wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: John Pombe Magufuli, mama Janet
Magufuli, akiweka shada la maua juu ya kaburi la aliekuwa Makamu wa rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dk, Omar Ali Juma kijijini kwao Wawi
Chakechake Pemba
Sheikh. Rashid
Abdalla akiomba dua kwa pamoja, kwenye kaburi la aliekuwa Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk: Omar Ali Juma, wakati rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk: John Pombe Magufuli na ujumbe
wake walipolizuru kaburi lake, liliopo Wawi Chakechake, Pemba
Baadhi ya
wananchi wa shehia ya Wawi wilaya ya Chakechake Pemba, wakiwa
wamenyanyua mikono juu, kumuombea dua aliekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dk: Omar Ali Juma wakati rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Dk: John Pombe Magufli alipokwenda kulizuru kaburi hilo
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: John Pombe Magufuli, akisaini
kitabu cha wageni, muda mfupi baada ya kufika kwenye kaburi la aliekuwa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Omar Ali Juma
kijijini kwao Wawi wilaya ya Chakechake Pemba, kabla ya kulizuru kaburi
lake,
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: John Pombe Magufuli, akizungumza
na wananchi wa shehia ya Wawi wilaya ya Chakechake Pemba, muda mfupi
baada ya kulizuru kaburi la aliekuwa Makamu wa rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dk, Omar Ali Juma kijijini kwao Wawi Chakechake
Pemba.
(Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment