UZINDUZI BARAZA LA WAWAKILISHI LA 9 LEO - KATUMA BLOG tz.

HABARI ZA HIVI PUNDE

KWA HABARI ZA UHAKIKA NA KUAMINIKA


Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, April 5, 2016

UZINDUZI BARAZA LA WAWAKILISHI LA 9 LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zubeir Ali Maulid mara alipowasili katika viwanja vya jengo la Baraza hilo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar leo kuzinduz Baraza la 9.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya Heshma ya gwaride la kikosi cha FFU wakati wa Uzinduzi wa Baraza la 9 la Baraza la Wawakilishi  liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la  kikosi cha FFU akiongozwa na Kamanda wa FFU Mjini Magharibi S.S.P Anani wakati wa Uzinduzi wa Baraza la 9 la Baraza la Wawakilishi  liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Baraza la Wawakilishi alipofika kulizindua Baraza la 9  la Baraza la 9 la Wawakilishi Baraza la  liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar leo(kulia) Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe,Zubeir Ali Maulid.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akiongoza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe,Zubeir Ali Maulid (mbele)na Katibu wa Baraza hilo wakati wakiingia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbeni nje ya Mji wa Zanzibar leo kabla ya kulizindua baraza hilo la 9.
 Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakisimama wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipoingia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar kabla ya kulizindua baraza la 9 leo.
 Wajumbe wa baraza la Wawakilishi wakisimama wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipoingia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar kabla ya kulizindua baraza la 9 leo.
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiwapungia mkono Wajumbe wakati alipotambulishwa leo akiwa ni miongoni wa Viongozi walioalikwa katika hafla ya uzinduzi wa Baraza la 9 la baraza la Wawakilishi liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
 Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika uzinduzi wa Baraza la 9  katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa baraza hilo liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika uzinduzi wa Baraza la 9  katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa baraza hilo liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
 Baadhi ya Mabalozi wan chi mbali mbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika uzinduzi wa Baraza la 9  katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa baraza hilo liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
 [Picha na Ikulu.] 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here