KLABU ZATAKIWA KUJISAJILI GPX KABLA YA JUMATATU - KATUMA BLOG tz.

HABARI ZA HIVI PUNDE

KWA HABARI ZA UHAKIKA NA KUAMINIKA


Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, September 2, 2016

KLABU ZATAKIWA KUJISAJILI GPX KABLA YA JUMATATU



Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), kwa mara nyingine, limeagiza klabu tisa za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) na Klabu sita za Ligi Daraja la Kwanza ya StarTimes (TFDL) kujiunga mara moja na mfumo huo unaoitwa GPX yaani Global Players Exchange ambao malengo yake ni kurahisisha kufanya usajili kwa mchezaji.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here