Msafara
wa Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli ukiwasili kwenye
uwanja wa Mashujaa tayari kwa maadhimisho hayo yaliyofanyika katika
Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa mjini Dodoma leo Julai 25, 2016 (PICHA
JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DODOMA NA IKULU)
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi
mbalimbali mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Mashujaa tayari kwa
kuongoza maadhimisho hayo yaliyofanyika katika Mnara wa kumbukumbu ya
Mashujaa mjini Dodoma leo Julai 25, 2016
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akiielekea kwenye mnara wa
kumbukumbu tayari kwa kuongoza maadhimisho ya mashujaa katika Mnara wa
kumbukumbu wa Mashujaa mjini Dodoma leo Julai 25, 2016
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akitoa heshima mara baada ya
kuweka Sime na ngao katika Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa alipoongoza
Madhimisho ya Siku ya Mashuja mjini Dodoma leo Julai 25, 2016
Baadhi
ya askari wa vikosi vya majeshi ya ulinzi na usalama vikiwa vimejiweka
tayari kwa ajili ya maadhimisho ya kumbukumbu ya mashujaa
iliyoadhimishwa leo kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma.
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akielekea kwenye mnara tayari
kwa kuweka Sime na ngao katika Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa
alipoongoza Madhimisho ya Siku ya Mashuja mjini Dodoma leo Julai 25,
2016
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akikabidhiwa Sime ili kuweka
katika Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa alipoongoza Madhimisho ya Siku ya
Mashuja mjini Dodoma leo Julai 25, 2016
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akiweka Sime katika Mnara
wa kumbukumbu ya Mashujaa alipoongoza Madhimisho ya Siku ya Mashuja
mjini Dodoma leo Julai 25, 2016
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akitoa heshima mara baada ya
kuweka Sime na ngao katika Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa alipoongoza
Madhimisho ya Siku ya Mashuja mjini Dodoma leo Julai 25, 2016
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe
Magufuli pamoja na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wakiwa
wamesimama na viongozi mbalimbali wakati wa maadhimisho hayo
yaliyofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma leo.
Viongozi mbalimbali wa serikali,vyama vya siasa wakiwemo wabunge wakiwa katika maadhmisho hayo mjini Dodoma leo.
Kutoka
kulia ni Mke wa Rais Mama Janet Magufuli, Mwenyekiti wa TLP Bw.
Agustino Mrema. Spika mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Amer
Pandu Kificho, Waziri wa mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba. Waziri wa
Ulinzi Dk. Hussein Mwinyi, Mwanasheria mkuu wa Serikali Mh. George
Masaju na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiwa katika
maadhimisho hayo.
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Mstaafu wa awamu ya
Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi wakimpongeza Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John
Malecela baada ya kuongea na wananchi kwenye Madhimisho ya Siku ya
Mashuja mjini Dodoma leo Julai 25, 2016
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wananchi baada ya
kuweka silaha za jadi katika Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa
alipoongoza Madhimisho ya Siku ya Mashujaa mjini Dodoma leo Julai 25,
2016
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wananchi baada ya
kuweka silaha za jadi katika Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa
alipoongoza Madhimisho ya Siku ya Mashujaa mjini Dodoma leo Julai 25,
2016
Mh. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi katika maadhimisho hayo.
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akiongea wakati wa Madhimisho ya Siku ya Mashuja mjini Dodoma leo Julai 25, 20
Baadhi ya wananchi wakishangilia wakati Rais Dk. John Pombe Majaliwa alipokuwa akizungumza katika maadhimisho hayo.
Baadhi ya viongozi waliohudhuria maadhimisho hayo wakifuatilia hotuba
ya Waziri Mkuu wakati alipokuwa akiwasalimia wakazi wa Dodoma
waliohudhuria maadhimisho hayo kutoka kushoto ni Naibu Spika Tulia
Akson, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Mohammed Said Mohammed Dimwa, Mke wa Rais Mama Janet Magufuli na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakiwa katika maadhimisho hayo.
No comments:
Post a Comment