Mwenyekiti
Mstaafu wa CCM, Jakaya Kikwete akimkabidhi moja ya vitendea kazi,
Mwenyekiti mpya wa CCM, Rais Dk. John Magufuli baada ua Wajumbe wa
mkutano Mkuu wa CCM, kumpitisha asilimia kwa mia ya kura, katika
kumchagua leo katika ukumbi wa Dodoma Convetion.
Mwenyekiti
Mstaafu wa CCM Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimpongeza Mwenyekiti mpya
wa CCM Rais Dk. John Magufuli baada ya wajumbe wa Mkutano Mkuu maalum wa
CCM kumchagua kwa kura asilimia mia kwa mia.
Mweneyekiti
wa CCM mstaafu Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mwenyekiti Mpya wa CCM
Rais Dk. John Magufuli wakipunga mkono baada ya Magufuli kutawazwa rasmi
kushika nafasi hiyo leo mjini Dodoma
Makamu
Mwenyekiti wa CCM Bara Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein
akimpongeza Rais Dk John Magufuli baada ya kutawazwa rasmi kuwa
Mwenyekiti mpya wa CCM lo mjini Dodoma. Katikati ni Mwenyekiti Mstaafu
wa CCM Rais Mstaafu Jakaya Kikwete
Mwenyekiti
mpya wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akitoa hotuba yake, baada ya
kutawazwa kushika nafasi hiyo kwa kupata kuta asilimia mia kwa mia
zilizopigwa na wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa CCM uliofanyika leo
mjini Dodoma, Picha zote na Bashir Nkoromo)
Post Top Ad
Responsive Ads Here
Saturday, July 23, 2016
Home
Unlabelled
RAIS DK. MAGUFULI APITA KWA KISHINDO NA KUTAWAZWA KUWA MWENYEKITI MPYA WA CCM LEO MJINI DODOMA
RAIS DK. MAGUFULI APITA KWA KISHINDO NA KUTAWAZWA KUWA MWENYEKITI MPYA WA CCM LEO MJINI DODOMA
About Unknown
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Responsive Ads Here
No comments:
Post a Comment