Luqman
Ally (14) anatafutwa na wazazi wake, amepotea tarehe 13 Juni mwaka huu,
anasoma shule ya Msingi Mbagala Islamic Darasa la Sita iliyopo Mbagala
jijini Dar es Salaam.
Mara
ya kwanza alitoroka wiki mbili zilizopita na akapatikana katika kituo
cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira Magumu cha Chad kilichopo
Manzese.
Taarifa imetolewa katika kituo cha Polisi cha Majimajitu Mbagala jijini Dar es Salaam kwa RB .NO MAT/RB/618/16.
Yeyote ambaye atamwona mtoto huyo apige
NAMBA YA YA SIMU. 0655891200. MAMA YAKE MZAZI WA LUQMAN
No comments:
Post a Comment