Wataalam wa magonjwa ya kina mama na watoto wamebainisha madhara ambayo
yanaweza kuwapata kina mama na wasichana wenye tabia ya kuvaa nguo za ndani
wakati wa kulala, maumbile ya kike yanaitaji kupumua ili kuzuia maambukizi kama
vile fangasi ndio maana madaktari wanashauri kulala bila nguo au kuvaa vinguo
vyepesi.
Dr. Grace Obong, anasema ya kwamba wakati wa mchana wanawake pia huvaa
chupi mbalimbali na nguo za kubana ambazo ufanya sehemu zao za siri kupumua kwa
shida sana anaendelea kwa kusema kuwa ingawa inashauriwa wanawake kvaa material
aina ya pamba lakini wanawake wengi hawapendelei kabisa aina hiyo ya nguo za
ndani hivyo ni muhimu wakati wa kulala usiku kuacha maumbile yapumue vizuri.
Dr huyo anashauri kuvaa boxer pamoja na pajama baadhi ya magonjwa au
maambukizi yatokanayo na kukiuka hayo hapo juu ni pamoja na Bacterial vaginosis
Maumbile ya kike yameumbwa kuwa na bacteria ambapo hu balance bacteria wabaya
ni wengi ukilinganisha na bacteria wazuri .
Maambukizi yaitwayo Bacterial vaginosis hutokea pale mlingano huu
unaposhindwa kubalansi.
Mwanamke mwenye maambukizi upata adha ya kutokwa na majimaji yenye harufu
mbaya na pia wachache hulalamika kupata harufu ya shombo la samaki .
Mara baada ya tendo la ndoa majimaji hayo yanaweza kuwa na rangi ya
maziwa au grey na dalili zngine ni kuungua wakati wa kukojoa magonjwa mengine
ni kama yeast infection na mengine mengi..
Dr anamaliza kwa kusema ni muda wa kulala natural na kuepuka unyevu
unyevu usiokuwa wa lazima huko chini.
No comments:
Post a Comment