Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa
akipungia mkono wakazi wa mkoa wa Lindi mara baada ya kuwasili mkoani
humo ikiwa ndio ziara yake ya kwanza tangia kuteuliwa kwake.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa
akisalimiana na Waziri wa Habari,Utamaduni ,Sanaa na Michezo ambaye pia
ni Mbunge wa Jimbo la Mtama Mhe.Nape Nnauye mara baada ya kuwasili
mkoani Lindi.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa
akisalimiana na Waziri wa Zamani wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa
Kimataifa Mhe. Bernard Membe, anayewaangalia katikati ni Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye wakati wa mapokezi
kwenye uwanja wa ndege wa mkoa wa Lindi.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa
akisalimiana na viongozi wa jeshi mkoani Lindi waliojitokeza kumpokea
kwenye viwanja vya ndege mkoani Lindi.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa
akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Halmashauri wilaya ya Lindi Vijijini
Ndugu Matei B. Makwinya
No comments:
Post a Comment