Mshambuliaji wa Timu ya Kipanga akimpita beki wa Timu ya Kimbunga
Kipa wa Timu Kimbunga akioko moja ya
mpira golini kwao wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar
uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya Kipanga imeshinda 1--0.
Mchezaji wa Timu ya Kipanga na Kimbunga
wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar
uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya Kipanga imeshinda 1--0.
Mshambuliaji wa timu ya Kipanga akimpita
Beki wa Timu ya Kimbunga wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar
uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya Kipanga imeshinda 1--0
No comments:
Post a Comment