Jopo la Makocha wa Vikosi vya SMZ
Zanzibar wakiwa katika zoezi la kuchagua Vijana wenye vipaji kuunda Timu
ya Watoto wa Chuo cha JKU Acedamy yenye umri wa miaka 15. wakiwa katika
jukwaa la Uwanja wa Amaan wakati wa zoezi hilo likifanyika kwa watoto
mbalimbali waliojitokeza katika mchujo huo.
Watoto chini ya Umri wa miaka 14 wakiwa
katika zoezi la uchaguzi wa Timu ya Watoto inaoyundwa na Timu ya JKU
Academy Zanzibar. wakiwa katika jukwaa la Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Wachezaji wa Timu za Watoto chini ya
Umri wa miaka 15 wakiwa katika zoezi la mchujo wa Vijana 60 watakaounda
timu ya JKU Acedamy, kukuza Vipaji vya Wachezaji Zanzibar na kuweka
kambi yao katika Kambi ya JKU Saateni.
Watoto chini ya Umri wa miaka 15 wakiwa
katika mazoezi ya mchujo wa Timu ya Watoto wa Chuo cha JKU cha Academy
Zanzibar. kukuza vipaji vya wachezaji Zanzibar kupitia Chuo hicho.
Meneja
wa Timu ya JKU Zanzibar akifuatilia mazoezi hayo ya Mchujo kwa Watoto
watakaounda timu ya Watoto wa Umri wa miaka 15 ya JKU Acedamy.
No comments:
Post a Comment