Baadhi
ya Wagonja walifikishwa Hospitalini hapo kwa ajili ya kupatiwa
matibabu baada ya kupata maradhi ya matumbo ya kuharisha (kipindupindu)
Mwandishi wa Habari Rahma Suleiman akichukuwa maelezo kwa Mgonjwa aliyefika katika kituo hicho mara baada ya kupata hujambo
Naibu Waziri wa Afya Mahmoudu Thabiti Kombo akionyesha ramani ya maeneo yanayoathiriwa zaidi na ugonjwa wa maradhi ya matumbo
Naibu
Waziri wa Afya Mahmoud Thabiti Kombo akinawa mikono, maji aliyotiwa
dawa mara baada ya kuwatembelea wagonjwa hao ili kujikinga na maradhi
hayo.
Naibu
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akipata maelezo kwa Dokt.
Dhamana Fadhili Ramadhan wakati alipotembelea wagonjwa wa maradhi ya
kuharisha (kipindupindu) katika kituo cha Afya kiliopo Sheha ya Karakana
Naibu
Waziri wa Afya akiwapa maelezo baadhi ya waandishi wa Habari juu ya
kujikinga na maradhi ya matumbo ya kuharisha (kipindupindu) mara baada
ya kutembelea kituo hicho. (PICHA NA MIZA OTHMAN, MAELEZO ZANZIBAR)
No comments:
Post a Comment