WADAU wa kupambana na vitendo vya Udhalilishaji wa
kijinsi kisiwani Pemba, wakimsikiliza mkuu wa kitengo cha Wanawake na Watoto
Pemba, Dina Juma Mkota wakati akitoa takuwimu za udhalilishaji kwa kipindi cha
Disemba 2014 hadi Augost 2015, katika ukumbi wa Idara ya Ustawi wa Jamii
Gombani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Kitengo cha Wanawake na Watoto Pemba, Kutoka
Wizara ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii, Vijana, Wanawake na Watoto Pemba Dina
Juma Mkota, akifungua kongamano la siku moja lililowashirikisha wadau
wanaopambana na vitendo vya udhalilishaji kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Kitengo cha Wanawake na Watoto Pemba, Kutoka
Wizara ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii, Vijana, Wanawake na Watoto Pemba Dina
Juma Mkota, akitoa ufafanuzi mara baada ya wadau wa kupambana na vitendo vya
Udhalilishaji kuwasilisha kazi za Vikundi, katika kongamano la kupiga vita
vitendo hivyo.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
Mkuu wa kitengo cha Wanawake, kutoka Wizara ya
Uwezeshaji Ustawi wa jamii, Vijana, wanawake na watoto Pemba, Dina Juma wakati
alipokuwa akiifungua kongamano la siku moja kwa wadau wanaopambana na vitendo
vya Udhalilishaji, huko katika Ukumbi wa Idara ya Ustawi wa Jamii Gombani.
No comments:
Post a Comment