Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya
Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk.Fatma Mrisho (kushoto),
akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo
mchana, kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani mwaka 2015
yatakayofanyika kitaifa Desemba Mosi mkoani Singida. Kulia ni Mkurugenzi
wa Habari na Uraghibishi.
National Programe Officer wa UNAIDS, Fredrick Macha (kulia), akizungumza katika mkutano huo.
Mkurugenzi wa Uendeshaji Programu wa Taasisi ya Tunajali, Dk.Mussa Ndile akizungumza katika mkutano huo.
Ofisa Uhusiano wa Tacaids (kulia), akizungumza katika mkutano huo.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Wadau wa masuala ya Ukimwi wakiwa katika mkutano huo wakisubiri kujibu maswali ya wanahabari.
No comments:
Post a Comment