Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa
Arusha wakimkaribisha kwa shangwe Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda
mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Kilimanjaro ttayari kufungua Mkutano wa nne wa mwaka wa wadau wa sekta
ya barabara chini ya Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa
unaofanyka katika hoteli ya Ngurdoto Mkoani Arusha.
Rais Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi alipowasili kata ya Ngurdoto Wilayani Arumeru,Mkoani Arusha leo.
(Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment