MGOMBEA MWENZA CCM AANZA KAMPENI KILIMANJARO - KATUMA BLOG tz.

HABARI ZA HIVI PUNDE

KWA HABARI ZA UHAKIKA NA KUAMINIKA


Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, August 24, 2015

MGOMBEA MWENZA CCM AANZA KAMPENI KILIMANJARO


1
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akilakiwa na wananchi baada ya kuwasili Ofsi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro leo.
2
Mbombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCMSamia Suluhu Hassan, akimtazama mtoto, alipokagua Kituo cha Afya cha Hedalu wilayani Same mkoani Kilimanjaro leo.
3
Mgombea Mwenza kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akilakiwa na mgobea Ubunge kwa tiketi ya CCM,  Same Magharibi, Anna Kilango Malechela, alipowasili kwenye mkutano wa hadhara wa kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Hedalu Same Mashariki mkoani Kilimanjaro leo.
4
Akivishwa Skavu wakati akilakiwa Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro leo.
(Picha zote na Bashir Nkoromo
5

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here