Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Bi. Kulwa Juma ambaye ni
mfanyabiashara ndogo ndogo ya kuuza Mihogo ya Kukaanga katika Kituo cha
Mabasi cha Gongo la Mboto mwisho, Jijini Dar es salaam leo, wakati
alipofanya ziara ya kushtukiza eneo hilo ili kujionea hali halishi ya
biashara ndogo ndogo. Mh. Lowassa aliianza ziara yake eneo hilo la Gongo
la Mboto na baadae alipanda daladala mpaka Pugu Kajiungeni, jijini Dar.
PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akimsikiliza Bi. Kulwa Juma ambaye ni
mfanyabiashara ndogo ndogo ya kuuza Mihogo ya
Kukaanga katika Kituo cha Mabasi cha Gongo la Mboto mwisho, Jijini Dar
es salaam leo.
Kukaanga katika Kituo cha Mabasi cha Gongo la Mboto mwisho, Jijini Dar
es salaam leo.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akizungumza na vijana wanaoendesha
Bodaboda waliokuwepo kando ya Kituo cha Mabasi cha Gongo la Mboto
mwisho, Jijini Dar es salaam leo. Kulia ni Mgombea Mweza wake, Dkt. Juma
Haji Duni.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwa katikati ya umati wa watu wakati
alipotembelea eneo la Gongo la Mboto mwisho, Jijini Dar
es salaam leo.
es salaam leo.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akizungumza na baadhi ya wanafunzi
waliokuwa kituoni hapo kusubiria usafiri.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwa ndani ya Daladala alilopanda kutokea
Gongo la Mboto Mwisho mpaka Pugu Kajiungeni jijini Dar es salaam,mapema
leo asubuhi.
Mh. Lowassa akishuka kwenye daladala.
Wakazi
wa mji wa Mbagala wakiushangilia msafara wa Mgombea Urais wa Tanzania
wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa pamoja na Mgombea Mweza wake, Dkt. Juma Haji Duni wakati
walipotembelea Kituo cha Mabasi cha Mbagala Rangi tatu jijini Dar es
salaam, wakati walipotembelea kituo hicho leo
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akizungumza na Vijana wanaojihusisha na
shughuli mbali mbali katika stendi kuu ya
Mabasi yaendayo mikoa ya Lindi na Mtwara, ilipo Mbagala jijini Dar.
Mabasi yaendayo mikoa ya Lindi na Mtwara, ilipo Mbagala jijini Dar.
Mgombea
Mwenza wa Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Juma Haji Duni akiwasalimia wakazi wa Mbagala.
No comments:
Post a Comment