Mgombea nafasi ya Urais wa
Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwapungia mikono wananchi katika
Gari maalum akitokea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC Bwawani
Hotel Mjini Unguja kuchukua fomu leo.
[Picha na Ikulu.]
Wapanda mapikipiki waliojitokeza
kumsindikiza Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha
Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar katika maeneo ya Michenzanni Mjini Zanzibar kabla ya
kuelekea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC Bwawani Hotel Mjini
Unguja kuchukua fomu leo.
Mgombea nafasi ya Urais wa
Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Mkewe Mama Mwanamwema Shein
wakisalimiana na Viongozi walipofika katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui
kupata baraka za Wazee wa Chama kabla ya kuelekea kuelekea katika Ofisi
za Tume ya Uchaguzi ZEC Bwawani Hotel Mjini Unguja kuchukua fomu leo.

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akipokea fomu hiyo kutoka kwa
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa Zanzibar ZEC Jecha Salum Jecha katika
Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo.
Baadhi ya Viongozi wakiliomshikiza
Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM
Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
katikaUkumbi wa salama Bwawani Mjini Unguja kabla ya kukabidhiwa Fomu
ya kugombea Urais wa zanzibar kupitia CCM na Tume ya Uchaguzi ya
zanzibar ZEC leo.
Mgombea nafasi ya Urais wa
Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar (wa pili kushoto) Spika wa baraza la
Wawakilishi Pandu Ameir Kificho (kushoto) Mama Mwanamwema Shein (kulia)
na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar VuaiAli Vuai wakiitikia dua
iliyoombwa kabla ya kukabidhiwa Fomu ya kugombea Urais wa zanzibar
kupitia CCM na Tume ya Uchaguzi ya zanzibar ZEC leo iliyotolewa na
Mwenyekiti wa Tume hiyo Jecha salum Jecha.
No comments:
Post a Comment