Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa India nchini
Tanzania Mhe.Sandeep Aryai ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akifungua Mkutano huo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akifungua Mkutano wa 16 wa mwaka wa Chama Cha Wanasheria wa Nchi za
Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika SADC uliofanyika katika ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es
Salaam leo.(picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment