Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisalimina na
wananchi waliojitokeza kumsindikiza kwenda kuchukua fomu za uteuzi wa
ubunge za Tume ya Taifa ya Uchaguzi .
wananchi waliojitokeza kumsindikiza kwenda kuchukua fomu za uteuzi wa
ubunge za Tume ya Taifa ya Uchaguzi .
Nape Nnauye ndie mgombea aliyependekezwa na Chama Cha Mapinduzi kugombea jimbo la Mtama mkoani Lindi.
Katibu
wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na Katibu Mwenezi wa kata
ya Namangare Mzee Evod nje ya ofisi za CCM mkoa Lindi,muda mfupi kabla
ya kwenda kuchukua fomu za uteuzi wa ubunge za Tume ya Taifa ya
Uchaguzi
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na
kamati ya siasa ya mkoa pamoja na wagombea ubunge wa CCM kutoka majimbo
yote ya mkoa wa Lindi kabla ya kumsindikiza kwenda kuchukua fomu za
uteuzi wa
ubunge za Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
ubunge za Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akitoka kwenye
ofisi za CCM mkoa wa Lindi akiongozana na Said Mtanda kuelekea kwenye
Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Lindi kuchukua fomu za uteuzi wa
ubunge za Tume ya Taifa ya Uchaguzi
ubunge za Tume ya Taifa ya Uchaguzi
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ambaye ndiye mgombea wa CCM jimbo
la Mtama pamoja na Said Mtanda anayegombea kwa jimbo la Mchinga
wakiwasili kwenye ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Lindi kuchukua fomu
za uteuzi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akikabidhiwa fomu
za uteuzi kwa nafasi ya ubunge na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya
ya Lindi Olliver Vavunge.
Mbunge
wa Jimbo la Mchinga Said Mtanda akipokea fomu za uteuzi kwa nafasi ya
ubunge na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi Olliver Vavunge.
No comments:
Post a Comment