Ajali mbaya Imetokea wilayani Ludewa kata ya Lugarawa ambayo imeondoa uhai wa watu takribani watano waliokuwa wakitokea Lugarawa kwenda Shaurimoyo.
Gari yao imetumbukia mto Lugarawa na kuondoa uhai wa watu hao.
Pumzikeni kwa Amani wapendwa wetu.
Updates...
Waliofariki ni Alon Haule miaka 40,Upendo Mbawala 29,Wenslaus Mtweve 40,Editha Haule 35 na Paskalius Mlwilo 20 ambaye ni mwanafunzi wa chuo cha uuguzi Lugarawa.
Marehemu Alon Haule ndiye mmiliki wa gari hiyo ambaye amefariki yeye na mke wake pia Wenslaus Mtweve amefariki na mkewe.
Majerui ni Huruma Mwinuka na Gerado Mwinuka.
Gari ni T613 AKA Toyota cresta.
Chanzo:jamii forums
No comments:
Post a Comment