MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA TACAIDS AJITAMBULISHA KWA WADAU WA UKIMWI JIJINI DAR ES SALAAM - KATUMA BLOG tz.

HABARI ZA HIVI PUNDE

KWA HABARI ZA UHAKIKA NA KUAMINIKA


Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, September 8, 2016

MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA TACAIDS AJITAMBULISHA KWA WADAU WA UKIMWI JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi Mtendaji wa Tacaids, Dk. Leonard Maboko.
 Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko (kushoto), akizungumza na wadau wa ukimwi katika mkutano wa kufahamiana uliofanyika Makao Makuu ya Tacaids Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria (Tacaids), Elizabeth Kaganda na Mkurugenzi wa Ufatiliaji na Tathmini, Dk. Jerome Kamwela.
 Wadau wa ukimwi wakimsikiliza mkurugenzi wao mpya.
Wadau wa ukimwi wakimsikiliza mkurugenzi wao.
Mkurugenzi wa wa Habari na Uraghibishi, Jumanne Isango na Mkurugenzi wa Utawala na Fedha wa Tacaids, Yasin Abbas wakiwa kwenye mkutano huo. 
Taswira ya mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here