Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Christopher Olonyokie Ole
-Sendeka kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Mathew Mtigumwe
kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Kilimo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Maria Sasabo kuwa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano ambaye atakuwa
katika upande wa (Mawasilino), Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Aloyce Kashindye
Nzuki kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Viongozi walioapishwa wakila
kiapo cha Maadili mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Wakwanza kutoka kushoto ni Mkuu wa Itifaki Balozi Grace Alfred Martin,
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Kashindye
Nzuki, Katibu Mkuu Mawasiliano Dkt. Maria Sasabo, Katibu Mkuu Kilimo
Mhandisi Mathew Mtigumwe pamoja na Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher
Olonyokie Ole-Sendeka.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Grace Alfred
Martin kuwa Mkuu wa Itifaki kutoka Wizara ya mambo ya Nje Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Viongozi walioapishwa waki weka
saini katika viapo vya maadili Ikulu jijini Dar es Salaam. Wakwanza
kutoka kushoto ni Mkuu wa Itifaki Balozi Grace Alfred Martin, Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Mali asili na utalii Dkt. Aloyce Kashindye Nzuki,
Katibu Mkuu Mawasiliano Dkt. Maria Sasabo, Katibu Mkuu Kilimo Mhandisi
Mathew Mtigumwe pamoja na Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Olonyokie
Ole Sendeka.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais
Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi John Kijazi pamoja na viongozi walioapishwa Ikulu jijini Dar es
Salaam. Wakwanza kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili
na Utalii Dkt. Aloyce Kashindye Nzuki, Katibu Mkuu Kilimo Mhandisi
Mathew Mtigumwe, Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Olonyokie Ole
Sendeka, Wakwanza kutoka kulia ni Mkuu wa Itifaki Balozi Grace Alfred
Martin pamoja na Katibu Mkuu wa Mawasiliano Dkt. Maria Sasabo.PICHA NA
IKULU
No comments:
Post a Comment