Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na
Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi Zanzibar Nd,Asaa Ahmada Rashid alipowasili katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo,[Picha na Ikulu.]10/12/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mwenyekiti wa
Tume ya Maadili ya Viongozi Zanzibar Nd,Asaa Ahmada Rashid (kulia)
na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na
Utawala Bora Mhe,Haroun Ali Suleiman mara alipowasili katika Viwanja vya
Victoria Garden Mjini Unguja katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo,[Picha na Ikulu.]10/12/2016.
Kikundi cha Brass Band cha Jeshi la
Polisi Zanzibar wakiongoza matembezi ya Taasisi mbali mbali
zilizoshiriki katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki
za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden
Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]10/12/2016.
Vijana waliobeba bango linalotoa
ujumbe usemao Siku ya Maadili na Haki za Binadamu”Imarisha Utawala Bora
kwa Kukuza Uadilifu,Uwajibikaji,Haki za Binadamu na Mapambano Zidi ya
Rushwa”wakati wa matembezi ya maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za
Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden
Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]10/12/2016.
Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia
mkono vijana walioshiki matembezi katika wa sherehe za maadhimisho ya
siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika
Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]10/12/2016.
Vijana walioshiki matembezi
katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu
Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini
Unguja,wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipokea matembezi
hayo,[Picha na Ikulu.]10/12/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na
Viongozi mbali mbali wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika
sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani
zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja,[Picha
na Ikulu.]10/12/2016.
Ngoma ya Kibati ikichezwa na kikundi
cha Vijana Ngoma Group katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili
na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya
Victoria Garden Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]10/12/2016.
Baadhi ya Viongozi na wananchi
waliohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki
za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden
Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]10/12/2016.
Baadhi ya Vijana waliohudhuria katika
sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani
zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini
Unguja,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)alipokuwa
akizungumza katika sherehe hizo,[Picha na Ikulu.]10/12/2016.
Baadhi ya Viongozi wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani)alipokuwa akizungumza na wananchi waliohudhuria katika
sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani
zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja,[Picha
na Ikulu.]10/12/2016.
Baadhi ya Viongozi wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani)alipokuwa akizungumza na wananchi waliohudhuria katika
sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani
zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja,[Picha
na Ikulu.]10/12/2016.
No comments:
Post a Comment