Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa Bw. Serge
Prammertz wakati Bw. Serge alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu
Dar es salaam leo April 13,2016 kwa ajili ya kujitambulisha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa Bw. Serge
Prammertz wakati Bw. Serge alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu
Dar es salaam leo April 13,2016 kwa ajili ya kujitambulisha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akiwa katika picha ya pamoja na mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya
Kimataifa Bw. Serge Prammertz wakati Bw. Serge alipofika Ofisini kwa
Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo April 13,2016 kwa ajili ya
kujitambulisha.
(Picha na OMR)
No comments:
Post a Comment