Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akitangaza Baraza lake la Mawaziri Ikulu jijini Dar es Salaam leo Desemba 10, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa.



No comments:
Post a Comment