Na Mwandishi Wetu , Katuma
Blog tz
HATIMAYE Tume ya Taifa ya
Uchaguzi Imemrangaza Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania.
Hivyo Magufuli anaungana na
Mgombea Mwenza, Mama Samia Hassan Suluhu ambaye atakuwa Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tutaendelea kukujuza
mchanganuo zaidi… endelea kufuatilia.
No comments:
Post a Comment