PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA MKUTANO MKUU WA CHADEMA MLIMANI CITY LEO - KATUMA BLOG tz.

HABARI ZA HIVI PUNDE

KWA HABARI ZA UHAKIKA NA KUAMINIKA


Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, August 4, 2015

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA MKUTANO MKUU WA CHADEMA MLIMANI CITY LEO


Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe (wa nne kulia) akiwa ameshikana mikono na Mgombea wa Urais alieteuliwa na chama hicho, Mh. Edward Lowassa (wa tatu kulia) pamoja na Mgombea Mwenza wake, Mh. Dkt. Juma Haji Duni (mwenye suti nyeusi) pamoja na wanachama wapya wa Chama hicho, wakati wakitambulishwa kwenye Mkutano Mkuu wa Chama hicho, unaoendelea kufanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City, Jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja.































































No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here