Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa
Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali, Mbazi Msuya akieleza
jambo wakati wa Warsha ya Wadau wa Mabadiliko ya Tabia nchi na
Uboreshaji wa Mifumo ya utolewaji Tahadhari za awali leo, tarehe, 20
Agosti, 2015, Jijini Dar esalam.
Mtaalam wa Mabadiliko ya Tabia
nchi UNDP, Abbas Kitogo akieleza jambo wakati wa Warsha ya Wadau wa
Mabadiliko ya Tabia nchi na Uboreshaji wa Mifumo ya utolewaji Tahadhari
za awali leo, tarehe, 20 Agosti, 2015, Jijini Dar esalam, kushoto kwake
ni Mratibu wa mradi huo, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Alfei Daniel.
Baadhi ya washiriki wa Warsha
ya Wadau wa Mabadiliko ya Tabia nchi na Uboreshaji wa Mifumo ya
utolewaji Tahadhari za awali nchini wakiwa katika picha ya pamoja na
Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brig.Jen,
Mbazi Msuya (wapili kushoto waliokaa), baada ya ufunguzi wa warsha hiyo
leo, tarehe, 20 Agosti, 2015 Jijini Dar esalam.
No comments:
Post a Comment