Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ambaye pia ndio mgombea wa ubunge
wa Jimbo la Mtama kwa tiketi ya CCM akipokelewa kwa shangwe na wananchi
wa kata ya Majengo wakati akiwasili kwenye eneo la mkutano wa
kuwashukuru wananchi hao kwa kumpigia kura nyingi kwenye mchakato wa
kura za maoni.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ambaye pia ndio mgombea wa
ubunge wa Jimbo la Mtama kwa tiketi ya CCM akiwasalimia viongozi mbali mbali wa CCM ngazi za kata na matawi waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano uliofanyika Majengo .

ubunge wa Jimbo la Mtama kwa tiketi ya CCM akipokelewa kwa shangwe na
wananchi wa kata ya Majengo wakati akiwasili kwenye eneo la mkutano wa
kuwashukuru wananchi hao kwa kumpigia kura nyingi kwenye mchakato wa
kura za maoni.
ubunge wa Jimbo la Mtama kwa tiketi ya CCM akipokelewa kwa shangwe na
wananchi wa kata ya Majengo wakati akiwasili kwenye eneo la mkutano wa
kuwashukuru wananchi hao kwa kumpigia kura nyingi kwenye mchakato wa
kura za maoni.
Wananchi wa Jimbo la Mtama wakishangilia kabla ya mkutano kuanza.
Wananchi wa Kata ya Majengo ,Mtama wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumsikiliza mbunge wao mtarajiwa Nape Nnauye .
Mbunge
wa Mchinga Mhe.Said Mtanda akihutubia kwenye mkutano wa hadhara wa
kushukuru wananchi waliompigia Katibu Mwenezi wa CCM Taifa ,Nape Nnauye
uliofanyika Majengo Mtama.
Wanancnhi wakimsindikiza Nape Nnauye kwenda jukwaani kuhutubia.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Majengo,Mtama
na kuwaeleza atakuwa Mbunge wa mfano kwa kutekeleza kila alichoahidi na
kuwa karibu na wananchi muda wote.
Wananchi
wakimsikiliza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ambaye pia
ndie mgombea ubunge wa jimbo la Mtama kwa tiketi ya CCM.
Mkutano huo uliofanyika sokoni Majengo ulikuwa wa kuwashukuru wananchi kwa kumpigia kura nyingi.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ambaye pia ndie mgombea ubunge wa
jimbo la Mtama kwa tiketi ya CCM akisisitiza jambo kwenye mkutano wa
kuwashukuru wapiga kura wake.
Mmoja
wa wagombea waliokuwa wanagombea nafasi ya kuiwakilisha Mtama bungeni
akiwasalimu wananchi na kuwahakikishia kuwa atashirikiana na Ndugu Nape
Nnauye katika kufanikisha ushindi wa CCM.
Mgombea Diwani wa kata ya Mnara Bi.Halima R. Mwambe akiwasalim wananchi kwenye mkutano huo.
Wananchi wakifuatilia kwa makini hotuba za shukrani.
Kikundi cha kwaya cha Majengo kikitumbuiza.
No comments:
Post a Comment