Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga, ametangaza kuihama CCM kutokana na kutokuwepo Demokrasia ya Kweli ndani ya CCM.

Hii ni baada ya kukatwa kwenye kura ya maoni ndani ya CCM
Ametangaza kujiunga na CHADEMA.
Ametangaza kujiunga na CHADEMA.
No comments:
Post a Comment