Kombe la Kagame walilotwaa Azam FC.
(Picha zote na Francis Dande)
Nahodha wa Azam John Bocco akipokea kitita cha dola za kimarekani dola elfu 30.
Viongozi wa Azam pamoja na wachezaji wakiwa katika picha ya pamoja.
Wachezaji
wa Azam FC wakishangilia wakiwa na Kombe lao baada ya kukabidhiwa
katika mchezo wa fainali baada ya kuifunga Gor Mahia ya Kenya 2-0.
Kocha
Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall akiwa amebebwa na wachezaji wa timu hiyo
baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali ya Kombe la Kagame dhidi ya
For Mahia ya Kenya uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam. Azam ilishinda 2-0.

Dar es Salaam. Azam imeshinda 2-0.
Dar es Salaam. Azam imeshinda 2-0.
Shomari Kapombe wa Azam FC akichuana na mchezaji wa timu ya Gor Mahia ya Kenya, Aucho Khalid.
Furaha ya ushindi.
Kocha wa Azam, Stewart Hall (kulia) akipeana mkono na mwenzake wa Gor Mahia.
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali.
Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akishangilia goli la pili aliloifungia timu yake.
Mashabiki wa Azam FC.
No comments:
Post a Comment