Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John Pombe
Magufuli na Mgombea Mwenza Ndugu Samia Hassan Suluhu wakionyesha fomu
zao za kuomba kugombea urais mara baada ya kuchukua kwenye ofisi za Tume
ya Uchaguzi jijini Dar es salaam leo, ambapo walisindikizwa na viongozi
mbalimbali pamoja na wanachama wa CCM na wananchi kwa ujumla wakiwa
wamepanda kwenye gari maalum lililowabeba.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA
FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John Pombe
akionyesha fomu huku mgombea Mwenza Ndugu Samia Hassan Suluhu akipunga
mkono wa wananchi na wana CCM waliowasindikiza.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John Pombe na
Mgombea Mwenza Ndugu Samia Hassan Suluhu wakiwa kwenye gari maalum mara
baada ya kuchukua fomu za kuomba kugombea urais katika Ofisi za Tume ya
Taifa ya Uchaguzi.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
Ndugu Nape Nnauye akiwa amepanda kwenye gari na wapiga picha wakati
msafara wa mgombea wa Urais Kutpitia CCM Dr. John Pombe Magufuli
ukuelekea katika ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es
salaam.
Msafara wa Mgombea Urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John
Pombe na Mgombea Mwenza Ndugu Samia Hassan Suluhu ukirejea Makao Makuu
ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam ambapo umepokelewa na Mwenyekiti wa
CCM Dr. Jakaya Kikwete.
Baadhi ya wananchi wakiufurahia
msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John Pombe na Mgombea Mwenza Ndugu Samia
Hassan Suluhu .
Waziri wa Sheria na Katiba Dr. Asha Rose Migiro akicheza kwa furaha.
Mwenyekiti wa CCM Dr. Jakaya
Kikwete, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula na Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakimlaki Mgombea Urais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John Pombe
na Mgombea Mwenza Ndugu Samia Hassan Suluhu wakati wakiwasili katika
ofisi za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa CCM Dr. Jakaya
Kikwete akimkumbatia kwa furaha Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kupitia Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John Pombe mara baada ya
kumpokea katika makao makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa CCM Dr. Jakaya
Kikwete akishuhudia Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kupitia Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli na Mgombea
Mwenza Ndugu Samia Hassan Suluhu wakati wakionyesha fomu zao kwa
wananchi na wanachama wa CCM mara baada ya kuwasili katika ofisi za
Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam.
Mgombea Mwenza Ndugu Samia Hassan Suluhu akizungumza na wana CCM na wananchi kwenye makao makuu ya CCM Lumumba.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
CCM Ndugu Nape Nnauye akizungumza na Bw. Emmanuel Mbasha wakati wa
mapokezi hayo ya wagombea wa CCM katika makao makuu ya CCM Lumumba.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John Pombe
Magufuli akizungmza na wana CCM na wananchi mara baada ya kuchukua fomu
ya kuomba kugombea Urais katika ofisi za Tume ya Uchaguzi.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John Pombe
Magufuli akizungmza na wana CCM na wananchi mara baada ya kuchukua fomu
ya kuomba kugombea Urais katika ofisi za Tume ya Uchaguzi.
Mwenyekiti wa CCM Dr. Jakaya
Kikwete akiiimba kwa pamoja na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kupitia Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli na
Mgombea Mwenza Ndugu Samia Hassan Suluhu wakati mara baada ya kuwasili
katika ofisi za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wananchi na wana CCM
wakiwa wamefurika katika makao makuu ya CCM Lumumba wakati wa Uchukuaji
wa Fomu za kuomba Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
katika tume ya Uchaguzi .
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
CCM Ndugu Nape Nnauye akizungumza na wananchi na wana CCM waliohudhuria
katika uchukuaji huo wa fomu za Kugombea Urais.
Mwenyekiti wa CCM Dr. Jakaya
Kikwete akiwa amekaa pamoja na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kupitia Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli na
Mgombea Mwenza Ndugu Samia Hassan Suluhu wakati mara baada ya mgombea
huyo kuwasili katika ofisi za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es
salaam Kutoka kushoto ni Mzee Steven Wassiran Ndugu Abdulrahman Kinana
Katibu Mkuu wa CCM na kutoka kushoto ni Mama Salm Kikwete na Mzee Philip
Mangula Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana akizungumza na kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM Dr.
Jakaya Kikwete katika mapokezi hayo.
Mwenyekiti wa CCM Ndugu Dr. Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi na kumkaribisha mgombea Urais Dr. John Pombe Magufuli.
Mwenyekiti wa CCM Ndugu Dr. Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi na kumkaribisha mgombea Urais Dr. John Pombe Magufuli.
Wananchi wakiwa wamefurika katika mapokezi hayo
Kundi la TOT likitumuiza katika mapokezi hayo ya wagombea.
No comments:
Post a Comment