Kwa miaka 20 nimeshiriki kuijenga CHADEMA kuwa chama kinachoaminiwa na chenye dira. Tusifuate upepo, tusimame tutafakari yanayotokea.
— Dr Willibrord Slaa (@willibrordslaa) August 4, 2015
Wapuuzeni vijana wanaotumiwa kusambaza propaganda, kusema kwa niaba yangu. Hii ni akaunti yangu halisi, nitasema hapa au kwa wanahabari.
— Dr Willibrord Slaa (@willibrordslaa) August 4, 2015
1. Sina mpango wa kuhamia CCM.
2. Ujio wa Lowassa CHADEMA ni mzaha mkubwa kwa wapenda mabadiliko ya kweli.
3. Nitazungumza.
— Dr Willibrord Slaa (@willibrordslaa) August 2, 2015
No comments:
Post a Comment