Mwenyekiti
wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa
CCM Mkoa wa Dodoma Adam Kimbisa muda mfupi baada ya kuwasili katika
uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo ataongoza vikao vya Kamati ya Maadili
na Kamati kuu ya CCM vitakavyofanyika katika ukumbi wa White House Makao
Makuu Dodoma.Ndugu kimbisa alikanusha uvumi uliosambazwa katika
mitandao ya kijamii kuwa ameihama CCM. Kushoto ni Katibu mkuu wa CCM
Ndugu Abdulrahman Kinana (Picha na Freddy Maro)
Mwenyekiti
wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja
wa ndege wa Dodoma ambapo ataongoza vikao vya Kamati ya Maadili na
Kamati kuu ya CCM vitakavyofanyika katika ukumbi wa White House Makao
Makuu Dodoma. Katikati ni Ndugu kimbisa alikanusha uvumi uliosambazwa
katika mitandao ya kijamii kuwa ameihama CCM. Kushoto ni (Picha na
Freddy Maro)
Mwenyekiti
wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana Katibu mkuu wa CCM
Ndugu Abdulrahman Kinana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Adam
Kimbisa mara baada ya kuwasili mkoani Dodoma leo
No comments:
Post a Comment