Mwenyekiti
wa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho
Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu maalum kwenye ofisi za Makao
Makuu ya Chama ,Ofisi Ndogo Lumumba,kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho
Kikwete pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana
wakipitia baadhi ya ajenda kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho
Kikwete akizungumza wakatiwa na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakati wa
kikao hicho.
Wajumbe wa Kamati Kuu wakipitia makabrasha yenye ajenda za kikao muda mfupi kabla kikao hakijaanza.
Kuona picha zaidi BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment