Nilikua natembelea mitandao mbalimbali leo nikakutana na hizi wanazoziita ajali zinazochekesha, ajali zenye maswali mengi…. ilikuaje mpaka dereva akapanda nalo juu ya bati? alielizamisha swimming pool je? huyu wa Lori hapa chini na yeye alitisha.. kabinua mzigo na gari zima.
Chanzo na Millad Ayo.com
No comments:
Post a Comment