HIVI NDIVYO SAFARI YA MAGUFULI KURUDI DAR ES SALAAM ILIVYOKUWA - KATUMA BLOG tz.

HABARI ZA HIVI PUNDE

KWA HABARI ZA UHAKIKA NA KUAMINIKA


Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, July 24, 2015

HIVI NDIVYO SAFARI YA MAGUFULI KURUDI DAR ES SALAAM ILIVYOKUWA

 Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mji wa Kibaigwa, Mkoani Dodoma asubuhi hii, wakati akiwa njiani kurejea jijini Dar es Salaam akitokea Mkoani  Dodoma.
Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa mkoani Morogoro leo.
Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili Ofisi za CCM Morogoro mjini.
Umati wa watu nje ya Ofisi za CCM Morogoro Mjini.
Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mji wa Dumila Mkoani Morogoro wakati akiwa safarini kuelekea jijini Dar es salaam.
 Gairo

Mgombea Mbunge wa Mvomero, Amos Makalla akiwasalimia wananchi wake.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here