Katibu Mkuu wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk. Willibroad Slaa akiwa kwenye gari
katika msafara wa mapokezi kwa ajili ya mkutano wa hadhara wa
kuwatambulisha Mbunge wa Kahama, James Lembeli na Mbunge wa Viti
Maalumu, Ester Bulaya waliohamia Chadema wakitokea CCM jana jijini
Mwanza.
ni Mwanza.
Aliyekuwa Mbunge wa CCM jime la
Kahama James Lembeli kulia akiwa na aliyekuwa Mbunge wa viti maalum
Vijana CCM mkoa wa Mara Esther Bulaya ambao wote wamehamia CHADEMA
wakiwa katika mkutano huo unaofanyika jijini Mwanza.
Mbunge wa Jimbo la Kahama, mkoani
Shinyanga, James Lembeli (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema
Taifa, John Mnyika, wakiwapungia wananchi mikono walipokuwa kwenye
msafara wa mapokezi ya Viongozi Wakuu wa Chama hicho wakiwasili jijini
Mwanza kwa ajili ya mkutano mkubwa wa hadhara.
No comments:
Post a Comment