Aina moja wapo ya chumba cha mswahili kilivyokuwa kwenye
karne ya 18, ambapo kwa sasa utamaduni kwa Wazanzibar umepotea na kubakia
kwenye majengo ya kihistoria, ikiwa ni pamoja hili lililopo Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
Aina vyombo vinavyotengenezwa kwa kutumia udongo maalumu, vya matumizi ya
ndani vilivyokuwa vikitumiwa na mababu na mabibi miaka iliyopita,
ambapo kwa sasa vimeshaachwa na kutumika vyombo vya bati, kigae na plastiki na
aina hii kubaki kama historia. (Picha
Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment