
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mecky Sadick akiosha pikipiki ya Blogger
Mroki Mroki 'Father Kidevu' (kushoto kwake) wakati wa harambee kuosha
Magari katika viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya kuchangia Fedha kwa
waandishi wa Habari ambao wanamatatizo ya Kiafya ikiwemo Saratani.

Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiosha pikipiki hiyo baada ya
kuzidi dau na kufanya jumla ya shilingi 150,000/= kupatikana kwa kuosha
pikipiki hiyo.
Mdauhuyu
nae alikuja na Baiskeli yake kwaajili ya kushiriki zoezi hilo na
baikeli hiyo ilichangiwa 40,000/= ili ioshwe. Daudi Mambya akiosha
baiskeli hiyo na kuchangia waandishi. 
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Meck Sadick akizindua zoezi la kuosha
Magari katika viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya kuchangia Fedha kwa
waandishi wa Habari ambao wanamatatizo ya Kiafya ikiwemo Saratani . PICHA ZAIDI FATHER KIDEVU BLOG
No comments:
Post a Comment