
HIVI leo jeanz za kubana 'Skinny Jeanz' ndiyo ziko katika fashion, kwenye kila kabati la mwanamitindo huwezi ukakosa kukuta suruari hizi, lakini ripoti mpya ya utafiti inaonesha kuwa suruali hizi zina madhara kwani zinaweza kusababisha uharibifu wa neva.
Watu wanaopendelea kuvaa skinny jeanz wanakabiliwa na ugonjwa ambao kitaalamu unaitwa ‘meralgia paresthetica’ na hiyo ni kwa mujibu wa Dr Karen Boyle wa kituo cha Greater Baltimore, USA.
Ugonjwa huo husababisha dalili ya ganzi, kufa ganzi na maumivu katika miguu juu.
“It’s a disorder that occurs when one of the nerves that runs in the outer part of a thigh gets compressed,” Dr Boyle told ABC News.
Wearing high heels with skinny jeans to lengthen the appearance of your legs apparently worsens symptoms because tilting the pelvis increases the pressure.
If you start experiencing symptoms due to wearing skinny jeans, Dr Boyle advices you consider swapping your tight jeans for jeggings or at least jeans with added Lycra to give them some stretch.
If you ignore the pain and continue to wear tight jeans, you could end up with permanent nerve damage.
No comments:
Post a Comment