Saturday, June 20, 2015

PICHA ZA RAIS KIKWETE NCHINI INDIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakiweka shahada la maua kwenye kaburi la mpigania uhuru na muasisi wa taifa la India Mahatma Ghandi, jijini New Delhi
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akikagua gwaride la majeshi ya India lililoandaliwa kwa ajili ya kumkaribisha. Rais Kikwete yuko nchini humo kwa ziara rasmi ya kiserikali.


No comments:

Post a Comment