Saturday, June 6, 2015

BREAKING NEWS: WATANGAZA NIA CCM RUKSA KUSHIRIKI MIDAHALO




HATIMAYE watangaza nia ya Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamepewa ruhusa ya kushiriki katika midahalo ya kupima uelewa kwa watangazia nia hao wanaoitaka nafasi kubwa ya Urais.
Katibu Mkuu wa Chama hicho Abdulrahman Kinana amesema hakuna pingmizi kwa watangaza nia haokushiriki midahalo hiyo. Kwa habari zaidi Soma HabariLeo ya Juni 7, 2015

No comments:

Post a Comment