
HATIMAYE watangaza
nia ya Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamepewa ruhusa ya kushiriki katika
midahalo ya kupima uelewa kwa watangazia nia hao wanaoitaka nafasi kubwa ya
Urais.
Katibu Mkuu wa
Chama hicho Abdulrahman Kinana amesema hakuna pingmizi kwa watangaza nia
haokushiriki midahalo hiyo. Kwa habari zaidi Soma HabariLeo ya Juni 7, 2015
No comments:
Post a Comment