Katika kupiga picha, mwanga una nafasi ya msingi na unaweza kuleta utoofauuti kati ya
picha nzuri na isiyo nzuri.
picha nzuri na isiyo nzuri.
Mara nyingi watu wamekua wanachanganya kati ya picha iliyopigwa simu na ile
iliyotengenezwa kwa kompyuta kutokana na mwanga wa picha hizo.
Moja kati ya Simu nzuri zilizoko sokon inaywezesha
kupiga picha na kumridhisha mtumiaje ni Tecno Camon CX Limited Edition. Kamera
ya nyuma ya simu hii inakuja ikiwa na uvumbuzi wa kuwekewa ringi
iliyojazwa flashi, uvumbuzi huu unaleta
matokeo mazuri kwani unaweza kunyonya giza na kutoa picha zilizo na
mng’aro wa asilimia 40 zaidi kuliko picha za kamera za simu zingine.
Tecno Camon CX Manchester City limited Edition ina flashi ambazo ni laini kwa asilimia 200 hivyo inasaidia picha inayopigwa
kwa simu hii kutoka na mng’aro wa
uhakika, rangi na pia kutokua na matokeo
ya vidoti vyekundu katika macho picha itakapopigwa na simu hii. Kamera ya simu inakuja na
teknolojia maalumu ya “4 in 1” Teknolojia hii inawezesha picha
kua ang’avu Zaidi kwa asilimia 30.
Kamera ya Mbele ya Simu hii ya Tecno Camon CX
Manchester City Limited Edition inakuja na flashi mbili za mbele katika mstari ,
flashi hizi zinasaidia picha zinazopigwa
katika mwanga mdogo au mazingira yanayoendana na hayo zitooke zikiwa na
zinaonekana vizur, hivyo watumiaji wa
kamera hii maarufu kama wapenda “selfie”
watapata kile kilicho bora.
No comments:
Post a Comment