FAIDA ZA VYAKULA VINAVYOSAIDIA KUPATA VITAMIN A MWILINI - KATUMA BLOG tz.

HABARI ZA HIVI PUNDE

KWA HABARI ZA UHAKIKA NA KUAMINIKA


Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, October 25, 2016

FAIDA ZA VYAKULA VINAVYOSAIDIA KUPATA VITAMIN A MWILINI

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEijpz8dpO4kiCYbGuVHj4oUYxIxnXfSecf99_k1ArMeHE6qNEFjP-_ycZfyB1pUTCqAc4EE3GQSLuu5JAUCU21XfT9JI_mVDZ7Cok41LQsWneW17fHvI0LR8QWBMJ-2RHJOwgZzlbpD2TI/s1600/VITAMIN+A.jpgVITAMINI "A" ni miongoni mwa virubisho muhimu sana katika mwili wa binadamu,
(a) Baadhi tu ya kazi zake
1 kulinda chembechembe za damu zisiguswe au kukumbwa na maadui,
2 kuimarisha mifupa,
3 kuyapa nguvu macho (kuona),
(b) dalili za kupungua vitamini "A" mwilini
1 kuhisi baridi hata kama hamna,
2 kudumaa na kulegea kwa mwili,
3 kukosa hamu ya kula,
4 meno kuoza,
5 fizi kuvimba na kuoza,
6 kukomaa kwa ngozi na
7 kukosa hisia za kunusa,kuona na kusikia.
(c) vitamini "A" inapatikana kwenye
1 machungwa yana "v.a. nyingi,
2 karoti mbichi isopikwa,
3 nyanya mbivu usipike,
4 pilipili hoho,
5 tikiti maji,
6 viazi vitamu,
7 embe dodo na 
8 matunda yote yawe yameivia mtini sio nyanya unaenda kuiivishia nyumbani.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here