Wafanyakazi wa Kampuni ya Kimbembe Auction Mart wakitoa Samani
za kampuni ya Centre Point Limited Mpangaji wa Shirika la Numba NHC
Katika nyumba Plot Namba 2008/93 iliyopo Mtaa wa Indira Ghandhi jijini
Dar es salaam kwa kushindwa kulipa kodi ya pango kiasi cha shilingi
Milioni 96, tukio hilo limefanyika leo asubuhi.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Kimbembe Auction Mart wakitoa Samani
za kampuni ya Centre Point Limited Mpangaji wa Shirika la Numba NHC
Katika nyumba Plot Namba 2008/93 iliyopo Mtaa wa Indira Ghandhi jijini
Dar es salaam
Vitu mbalimbali vikitolewa ndani vikiwemo viti.
Baadhi ya vifaa mbalimbali vya kampuni hiyo vikiwa tayari vimetolewa nje.
Mmoja wa wanafamilia ambaye hakutaka jina lake litajwe
akishuhudia tukio hilo wakati wafanyakazi hao wakiendelea kutoa vitu
mbalimbali katika nyumba hiyo.
No comments:
Post a Comment