ASILI YA MSWAHILI ILIYOPOTEA - KATUMA BLOG tz.

HABARI ZA HIVI PUNDE

KWA HABARI ZA UHAKIKA NA KUAMINIKA


Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, July 1, 2016

ASILI YA MSWAHILI ILIYOPOTEA

 Aina moja wapo ya chumba cha mswahili kilivyokuwa kwenye karne ya 18, ambapo kwa sasa utamaduni kwa Wazanzibar umepotea na kubakia kwenye majengo ya kihistoria, ikiwa ni pamoja hili lililopo Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
Aina vyombo vinavyotengenezwa kwa kutumia udongo maalumu, vya matumizi ya ndani vilivyokuwa vikitumiwa na mababu na mabibi miaka iliyopita, ambapo kwa sasa vimeshaachwa na kutumika vyombo vya bati, kigae na plastiki na aina hii kubaki kama historia. (Picha Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here