MTOTO LUQMAN ALLY ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE - KATUMA BLOG tz.

HABARI ZA HIVI PUNDE

KWA HABARI ZA UHAKIKA NA KUAMINIKA


Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, June 24, 2016

MTOTO LUQMAN ALLY ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

Luqman Ally (14) anatafutwa na wazazi wake, amepotea tarehe 13 Juni mwaka huu, anasoma shule ya Msingi Mbagala Islamic Darasa la Sita iliyopo Mbagala jijini Dar es Salaam.

Mara ya kwanza alitoroka wiki mbili zilizopita na akapatikana katika kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira Magumu cha Chad kilichopo Manzese.

Taarifa imetolewa katika kituo cha Polisi cha Majimajitu Mbagala jijini Dar es Salaam kwa  RB .NO MAT/RB/618/16.

Yeyote ambaye atamwona mtoto huyo apige
NAMBA YA YA SIMU. 0655891200. MAMA YAKE MZAZI WA LUQMAN

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here