Mwenyekiti
wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akisaini kitabu cha maombolezo katika ofisi ya Ubalozi wa nchi ya Sahara
Magharibi nchini,kufuatia kifo cha Rais Abdel Aziz Mohamed kilichotokea
siku ya tarehe 31,Mei 2016, kulia ni Mama Salma Kikwete.
Mke
wa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mama Salma
Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo katika ofisi ya Ubalozi wa nchi
ya Sahara Magharibi nchini,kufuatia kifo cha Rais Abdel Aziz Mohamed
kilichotokea siku ya tarehe 31,Mei 2016, kulia ni Mwenyekiti wa CCM
Taifa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikete.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akizungumza na Balozi wa nchi ya Sahara Magharibi Brahim Salem Buseif
mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais Abdel
Aziz Mohamed.
No comments:
Post a Comment